Kitengo cha Fedha na Uhasibu
Majukumu ya Kitengo cha Fedha na Uhasibu
- Kuandaa na kulipa mishahara kwa wakati
- Kuandaa na kuwasilisha nyaraka za malipo Hazina
- Kuandaa na kuwasilisha taarifa za Mapato na Matumizi Hazina
- Kuandaa na kuhifadhi kumbukumbu za nyaraka za Malipo
- Kutekeleza malipo kwa Mujibu wa Sheria, Kanuni na Taratibu za matumizi ya fedha za Serikali
- Kuandaa na kuratibu majibu ya hoja mbalimbali za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali.